Artist: Kijani ft Gaza
Song : Wataka nini
Year: 2011
Verse 1 (Gaza)
Announcement I am single again, nimewacha na drama ya yesterday,
It’s a new day, its 2011, acha ni tulia, this time baibe hakuna kurudi nyuma,
Live my life vi mos mos mos, (yeaah), unite baibe I want you back, I miss you baibe,
Kama hakuna linguine, basi, oya! oya!
Chrous
Wataka nini we-e-e, wataka nini we,
Wataka nini we-e-e, wataka nini we
Wataka nini we-e-e, wataka nini we, Wataka nini
Wataka nini we-e-e, wataka nini we,
Wataka nini we-e-e, wataka nini we
Wataka nini we-e-e, wataka nini we, Wataka nini we-e-e-e
Verse 2 (kijani)
Yajana ilikua ya jana, niko wakati ya-a, kua mtu wa sahi-i-I,
Kama ulivyo nionyesha mgongo, please, please, ndiyo defender,
Mapenzi kwa moto, you are an offender,
Right now unanitaka, since niko na madame kijani, kama mi ni dealer, amani, that’s how we do it, nini kwani?
(gaza)
Itabidi ukanyange breaks, tuliza boli,
So usilete za mm-aa-aa, hapana umesikia, umeshika,
Umeshika e-e, nina ambitions bigger than a monster,
Kama silingine,basi ohya ohya,
Chorus
Wataka nini we-e-e, wataka nini we,
Wataka nini we-e-e, wataka nini we
Wataka nini we-e-e, wataka nini we, Wataka nini
Wataka nini we-e-e, wataka nini we,
Wataka nini we-e-e, wataka nini we
Wataka nini we-e-e, wataka nini we, Wataka nini we-e-e-e
Wataka nini we-e-e, wataka nini we,
Wataka nini we-e-e, wataka nini we
Wataka nini we-e-e, wataka nini we, Wataka nini
| < Prev |
|---|
