| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(1 vote, average 1.00 out of 5)

Mulika Mwizi

audio_icon_left">listen to 'mulika mwizi'audio_icon_right

Artist: Kidum Ft Sana
Song Title: Mulika Mwizi
Year: 2011
Language: Kiswahili

Verse 1
Ukiona mwanaume kwa hali ya kulia, jua yakwamba ameguswa pahali,
Sio rahisi, si kawaida kushuhudia mwanaume akitoa machozi,
hapo zamani nilidhani mwanaume akipoteza kazi ndio uchungu, ndio unyonge,
kumbe mapenzi ndio sumu kali, inayofanya mwanaume kulia,
kama mtoto mtoto, kama kidogoyo,
hapembelezwi, hanyamazishwi, machozi yake inatoka ikienda tumboni
hapembelezwi, hanyamazishwi, machozi yake inatoka ikienda tumboni

Chorus
Mulika mwizi, mulika na tochi, mulika (mulika mwizi)
Mulika mwizi, kama kuna giza mulika,
Nimulikie mwizi, nasumbuka, nataka kujua nani mwizi wa mapenzi!

Barua pepe kwa simu ya rununu, ujumbe mfupi unafutwa na sekundi tatu (sekundi tatu),
Nilimpenda baibe wangu, nikampea roho yangu, amechukuliwa, amenyakuliwa,
Kama Fulani hapa mtaani, mwenye magari, na mapesa, amechukua baibe,
ikanifanya crazy,Sipembelezwi, sinyamazishwi,
machozi yangu yanatoka yakienda tumboni,
msiomboleze, mnamujua huyu jamaa, kajifanya bubu, wengine vipofo


Chorus
Mulika mwizi, nimulikie mwizi,
Nimulikie mwizi, nasumbuka, nataka kujua nani mwizi wa mapenzi!
nani mwizi wa mapenzi!

Verse 3
Ukiona baibe wako anaingia bafu na simu mkononi, huyo ni mwizi (mulika mwizi)

Uniona mzee wako anazima simu kila mara akiwa kwa nyumba, mulika mwizi (mulika mwizi)

 Oh-o-o-o Oh Oh  Oh-o-o-o

Oh-o-o-o –o-o


Nimulikie mwizi jameni, (mulika mwizi)
Mulika mwizi, nionyeshe, niambie ni wapi,
Nimulikie mwizi, mwizi wa mapenzi, mwizi wa mapenzi (mulika mwizi)
Nani mwizi wa mapenzi,
Nani mwizi wa mapenzi (mulika mwizi)
Wani ua, wani umiza (oh –o-o-o-o)
Mulika na tochi, natazama mbele si nyuma,
Mulika mwizi, kila mtu mwizi wa mapenzi, kila mtu mwizi wa mapenzi,
 pia mimi mwizi wa mapenzi


Related lyrics

Comments (2)
  • tusqee
    yet another great from kidum!!
  • Mc Kessy  - Like this Music
    I appreciate this Music than other music i hear from Kidumu, for this if Strong_Soft voice, sweet to listen, good mixing with SANA and for sure is singing in English he will pick more than R Kelly
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1058 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)