| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(1 vote, average 5.00 out of 5)

Wanajaribu

audio_icon_left">listen to 'wanajaribu'audio_icon_right

Artist: Kama aka Kalamashaka ft Dunga
Song Title: Wanajaribu
Album: Kama Amka
Record Label: NZM Records
Year: 2011

Ah-ho aya aya ee Ah-ho aya aya ee

Ah-ho aya aya ee Ah-ho aya aya ee,ah

Bawa wana.. aya aya ee

Kama, you know what’s mine.. mnatisha..sasa hivi...

Verse 1
Its a mistari,kama kama gather hizi mistari in Italy, never did what the romans took, only left them shivering in solar energy, trapped in melanine and bickering like a parliamentary, say something compesesa me, i got the caflorifeelin like erafree, nikupende if if its a lo, and then ni ni, i got the hope ni sambillis, najua rules dio nazibreak properly, with these weak MCs am getting, ndio zitaleta justice i still want the conflict be peace, had to go there Siz amepotea inje za kastiz za ma MPs, Lost in the 90’s

Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!

Verse 2
Full muzuka, kidole gumba, nyumba Runda, vuka na mchumba, waseme dumba,
wakongwe waseme wametoka sumba, tafuta juta ama mjukuu atajuta,
daktari dunga, na kwenye clabu na dunda,
leo ikiwa ni juzi, na jana ilikuanga ni future, butcher!
Colo ana beef, nasikika CD, CV, navuma, na mabeshte wa westi, vuruga
Lete jodo kasa, unavaanga vitu outdated with wasted, na mimi niya Jacob zuma,
Ngeli ni ya hakuna, ma, unakumbuka, utajua nani mkali kwa hali, na mali hakuna
Na mali hakuna, na mali hakuna, hakuna, hakuna!
 
Aya aya ee aya aya ee aya
 Bawa, wanagawa
Aya ya e e aya aya e e
Aya ya e e aya aya e e
Bawa, wanagawa
Aya ya e e aya aya e e

Chrous
Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!
Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!
Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!
Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!
 
Aya ya ya e e e aya aya e e
Aya ya ya e e e aya aya e e
Bawa, wanagawa
Aya ya ya e e e aya aya e e
Aya ya ya e e e aya aya e e
Bawa, wanagawa
Aya ya ya e e e aya aya e e

Verse 3
Itapigwa flash codon, kama anaroll na phantom, nigik wanaingia na bus ya falcon,
Fwata nyayo,usacho, anglosaxon, voka na nangos, like kwa choo,
Ita toniwa kwa sik, where you find like chapo, tango ni pari, ama Rambo in the jungle,
Get this, niite Ali, nabii msanii tuko kambii ya mau mau since 63, you know who wathii

Chrous
Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!
Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!
Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!
Wanajaribu kunipoteza, kunitoa kwenye calenda, wacha mimi ni shike tena na mahaters wanaongezeka!

Aya ya ya e e e aya aya e e
Bawa, wanagawa
Aya ya ya e e e aya aya e e
Bawa, wanagawa
Aya ya ya e e e aya aya e e
Aya ya ya e e e aya aya e e
Bawa, wanagawa
Aya ya ya e e e aya aya e e
Aya ya ya e e e aya aya e e
Aya ya ya e e e aya aya e e, aya ya!

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 680 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)