| 
A+ R A-

(12 votes, average 4.33 out of 5)

Si Kupenda Kwangu

" target="_blank">" target="_blank"> " target="_blank">LISTEN TO 'SI KUPENDA KWANGU'" target="_blank"> " target="_blank">

Artist: Jua Cali
Song: Si Kupenda Kwangu (ni hali ya maisha)

Intro

jamaa
maisha ngumu
kila mtu bana iko na blunder zake au sio
lakini ni lazima bana tujaribu kuishi pamoja

Verse 1
kulala mapema na kuamka kesho yake saa sita (si kupenda kwangu)
na nikiamka naenda shughuli uso sijasafisha (si kupenda kwangu)
ile deni yako nilikaa nayo mpaka ukaniachia (si kupenda kwangu)
lakini zile viatu zangu sikuwachii nazikujia (si kupenda kwangu)
unataka kuhama huku nikikuambia wee tulia (si kupenda kwangu)
kumbe nimechanisha bill ya stima unanilipia (si kupenda kwangu)
mitungi nazo zimejaa kwa keja hakuna mahali ya kusimamia (si kupenda kwangu)
msishangae jamaa ndio hizo hizo mtakalia (si kupenda kwangu)

Chorus
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (kuna wadhii kwa nyumba)
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (hakuna stima)
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (maisha ngumu)
si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (eeh)
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (au sio)
si kupenda kwangu ni hali ya maisha
si kupenda, si kupenda, si kupenda
si kupenda kwangu

Verse 2
ka nili-perform show ya Game na nyinyi mkakauka (si kupenda kwangu)
Genge napanda na zenyu zinashuka (si kupenda kwangu)
ka nilipakua nyama zote na nyi mkakosa (si kupenda kwangu)
nikawacha mkipigania mifupa na mboga (si kupenda kwangu)
ulitoka ngumi yangu ya kushoto ukakutana na ya kulia (si kupenda kwangu)
uliingiliwa kwa nyumba na sikuja kukusaidia (si kupenda kwangu)
siku hizi wanasiasa wote mi husinzia (si kupenda kwangu)
kelele tu 2012 hakuna kura nawapigia (si kupenda kwangu)

Chorus
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (unaskia)
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (eeh)
si kupenda kwangu ni hali ya maisha
si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (au sio)
si kupenda kwangu ni hali ya maisha (genge)
si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
si kupenda kwangu 

Verse 3
niko wali kwa sana siku hizi nimepunguza sima (si kupenda kwangu)
natengeneza mwili huku nikiharibu jina (si kupenda kwangu)
kujipiga marashi hata kabla sijaoga (si kupenda kwangu)
kukudanganya kesho nipitie halafu nakutoka (si kupenda kwangu)
kukuja kwako daily kukuomba chumvi (si kupenda kwangu)
ama kuku-hustle kila siku niachie hata kakumi (si kupenda kwangu)
wee kufanya kitu ya maana na bado nakusomea (si kupenda kwangu)
wee fanya bidii wacha kusema unaonewa (si kupenda kwangu)
tuna-hustle jamaa au sio

Chorus
si kupenda kwangu ni hali ya maisha
si kupenda kwangu ni hali ya maisha
si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
si kupenda kwangu ni hali ya maisha
si kupenda kwangu ni hali ya maisha
si kupenda kwangu ni hali ya maisha
si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
si kupenda kwangu...


Related lyrics

Comments (6)
  • Jackson Musau
    Good website!!! will promote you on DataMaxKenya.Com

    Poa
  • Administrator
    Thanks. Lets promote local music together.
  • Laffy Taffy
    Apparently Abbas is not very amused with the lines in this song about the Game concert. Who knows what'll happen next? Another War Song?
  • Majani
    yeah, beef itokee
  • Anonymous
    hy mzee wangu umetoka far bt GOD is great that now u r a mirror 4 the upcoming artists
  • James Tugee
    A great initiative to promote Kenyan local music. Bravo! As for Jua Cali, we appreciate your talent. Endelea kutukuta na ngoma mbili mbili, na ziwe poa kama mchele imewekwa mnazi.... coz si kupenda kwako ngoma zako zinapendwa na watu!!! Endelea kuchora Ngeli ya Genge, na uendelee kusimama wengine wakilala, coz umezinduka. Kwaheri!
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 3743 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)