" target="_blank">
LISTEN TO 'DUNIA TWAIPITIA'![]()
Artist: Joyce Muturi
Song: Dunia Twaipitia
Album: Mutathimani
Language: Kiswahili
Adamu ndiye aliyekuwa
mtu wa kwanza hapa duniani
na wa pili alikuwa Eva
lakini hao waliaga dunia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
nafsi yangu mimi yamngoja Yesu
duniani wote twaipitia
nimeahidi mimi kumfuata Yesu
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
Shadiraki Meshack na Abedinego
hao wote walipitia
nyanya yangu alipitia
babu yangu pia akapitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
nafsi yangu mimi yamngoja Yesu
duniani wote twaipitia
nimeahidi mimi kumfuata Yesu
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
kwa zamani kuwa tajiri mpaka
waamue ndugu na dada yako
watoto wao ukawafukuza
vita ni vya nini dunia twapitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
nafsi yangu mimi yamngoja Yesu
duniani wote twaipitia
nimeahidi mimi kumfuata Yesu
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
wakati huu baba twakuomba
nyakati za mwisho zimefika
fadhili zako ni za milele
Mungu baba tufute machozi
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
nafsi yangu mimi yamngoja Yesu
duniani wote twaipitia
nimeahidi mimi kumfuata Yesu
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
moyo wangu baba watamani wewe
pande zote hakuna mwingine
wewe ni wangu milele na milele
sitetemeki wala sitakuwacha
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
nafsi yangu mimi yamngoja Yesu
duniani wote twaipitia
nimeahidi mimi kumfuata Yesu
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
dunia, dunia hii
duniani wote twaipitia
-
|2010-11-26 11:32:33 MeezyThis song touched me and i want to be reborn. I can feel that i am getting closer to God.=)
-
|2010-11-26 11:33:14 Naitusthis is one of my favorite songs.
it reminds me of to whom do i live for.
i live and sing for Jesus.
and my life is here to glorify him! SHALOM!!!
-
|2010-11-26 11:33:46 hekayaLord thank you for this music that makes me realise that all I need is only You, I am struggling for my marriage I know that you are there for me no matter what bcz You love me unconditionlly. I thank you for giving me strength in times of trouble. When I am down You lift me up, You are my strength Lord, my ever help in my every need. Pls touch the heart of my husband, let him come to you Lord. Thank you Heavenly Father for sending Your Son Jesus to save us . I praise you Lord.
| < Prev |
|---|
