" target="_blank">
LISTEN TO 'ASANTE BABA'![]()
Artist: Joyce Muturi
Song: Asante Baba
Album: Murathimani
Language: Kiswahili
jana usiku nilienda kulala
na haikuwa ni lazima niamke
kwa upendo wako Mungu ukaniamsha
haleluya utukuzwe amina
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
unifiche chini ya bawa lako
nakushukuru kwa kuwa baba yangu
nakushukuru Mungu kwa kunichagua
nakushukuru kwa maana ulinipenda
ulinipenda kabla ya nikupende
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
unifiche chini ya bawa lako
asante baba kwa kunitoa dhambini
asante sana baba kwa kuniokoa
asante sana kwa damu uliomwaga
ulimwaga kwa ajili ya dhambi zangu
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
unifiche chini ya bawa lako
ombi langu leo niwe mnyeyekevu
ombi langu leo ni kuishi na wewe
ombi langu leo niwe ninakufuata
popote uendapo hata mimi niende
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
unifiche chini ya bawa lako
jana usiku nilienda kulala
na haikuwa ni lazima niamke
kwa upendo wako Mungu ukaniamsha
haleluya utukuzwe amina
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
baba nakuomba, nakuomba unifiche
unifiche chini ya bawa lako
-
|2010-11-26 11:34:52 2GodbethegloryMy daughter Melissa was given 1 hr to live at Columbia Presbyterian Hosp Bx NY. Both her lungs were unable to stop bleeding. Drs said that not even a lung transplant would save her. I remember how in the supernatural God used Moses to part the red sea.So I prayed God in the supernatural power you gave Moses I ask you to close my daughter's lungs like you did to the red sea.. Drs call it miraculous. I say b/c I dared to believe I received.Drs encourage me to write a bk.
| Next > |
|---|
