Artist: Influx
Song: Kwachua
Album: Last Episode
Year: 2009
Producer: Keygun
Record Label: Sonic Sounds
haha K.G hii ni nare
ma3 zitabeba sare
INFLUX
mziki nafanyia justice
bila hata practice
(kwachu) *4 vile unataka ah
Chorus
kwachua tu kama unaweza(weza)
kwachua tu kama unaweza aahh
kwachua tu kama unaweza
ma mishoni nitakupa unavyo taka *2
Verse 1
its a thursday majob zimechosha men
keja siwezi fika kesho ni holiday
wife hawezi zusha namwingiza box men
niko night shift shika blanket poa(over the phone)
napingia washikaji toka nai mpaka dar
kampala mwaniskiza east afric tunadai
migingo si kitu da kwachua msupa
toka UG museveni ambiwe nimepita
nawakilisha east kuchafua west
toka kahawa west mpaka westie
nikichoka nao napitia nai west
carni kuna nini?
madame na mamini?
Chorus
kwachua tu kama unaweza(weza)
kwachua tu kama unaweza aahh
kwachua tu kama unaweza
ma mishoni nitakupa unavyo taka *2
Verse 2
ndani ya yumba!
nina madame kadhaa
na wote ni balaa
umespot msupa? eh
she got a gangster hips
back to the lips
hii yake ni thuggery
anazidi mystery
akidance kwenye floor uta(feel) *3
akiwalk towards you uta(freeze) *3
ukiwalk kwa hiyo street uta................
najua ankuchanga uaze side gani
ametoka wapi? kamp ama dar?
"ametoka dar" ah nishaishi dar
naomba niseme nawe!! "eeee sema nami"
kama trust ya zamani hehehehe
Chorus
kwachua tu kama unaweza(weza)
kwachua tu kama unaweza aahh
kwachua tu kama unaweza
ma mishoni nitakupa unavyo taka *2
Verse 3
hii ni balaa? eeeh anamag'aa? eeh
atashangaa "ala" shika chapaa
juu ya machupa, na akichapa
tupa chang'aa, hii ni sanaa
kwachua kwachua basi kama unaweza
ma mishoni nimekupa vile unavyotaka
ameshika nare? zi uwezi sare
kuwa ready kuspendi halafu ataspendi
ukitaka moto basi shika nare
ukitaka steam basi shika bale
ukitaka joto haiya shika yule
kwachua kwachua peleka nyuma mbele
Chorus
kwachua tu kama unaweza(weza)
kwachua tu kama unaweza aahh
kwachua tu kama unaweza
ma mishoni nitakupa unavyo taka *2
| < Prev | Next > |
|---|
