| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Manzi wa Maana

LISTEN TO 'MANZI WA MAANA'

Artist: Henrie Mutuku
Song: Manzi wa Maana
Album: Simama 
Year: 2002 
Producer: Robert Kamanzi
Record Label:

Verse 1

hekima
mdomoni mwake
na uzuri wake
wasambaza kwote
heshima
kwake ni usingi
akiipeana
apewa kwa wingi

busu, busu, busu (ye hana)
wivu na uvivu (hapana)
jamaa yake (ni kwanza)
mwendo wake (imara)

busu, busu, busu (ye hana)
wivu na uvivu (hapana)
mwendo wake (imara)

Chorus
manzi wa maana
ni manzi wa nguvu
manzi ambaye amkubaye Mungu
siku zake zote

ni manzi wa nguvu
manzi ambaye amkubaye Mungu
siku zake zote

Verse 2
kazi zake
ni za kuvutia
lote afanyalo
afanyia Mungu
na ukweli
ndio nguvu yake
maombi moyoni
yamwimarisha

chali wa mwengine (hagusi)
chake yeye haki (tembezi)
usichana wake (ni siri)
hadi wawe (bwana na bibi)

chali wa mwengine (hagusi)
chake yeye haki (tembezi)
usichana wake (ni siri)

Chorus
manzi wa maana
ni manzi wa nguvu
manzi ambaye amkubaye Mungu
siku zake zote

ni manzi wa nguvu
manzi ambaye amkubaye Mungu
siku zake zote

manzi wa maana
ni manzi wa nguvu
manzi ambaye amkubaye Mungu
siku zake zote

ni manzi wa nguvu
manzi ambaye amkubaye Mungu
siku zake zote

Bridge
chali wa mwengine (hagusi)
chake yeye haki (tembezi)
usichana wake (ni siri)
hadi wawe (bwana na bibi)

chali wa mwengine (hagusi)
chake yeye haki (tembezi)
usichana wake (ni siri)

Interlude
and I has always ask myself
and ask other selves
what constitutes a hundred percent female being
what is a good woman

Chorus
manzi wa maana
ni manzi wa nguvu
manzi ambaye amkubaye Mungu
siku zake zote

ni manzi wa nguvu
manzi ambaye amkubaye Mungu
siku zake zote


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1096 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)