">
LISTEN TO 'NISHAPATA MPENZI'![]()
Artist: Gospel Fathers
Song: Nishapata Mpenzi
Album: Zaidi ya Mziki
Year: 2008
Producer: R-Kay
Chorus
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini ooh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini eeh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini ooh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini eeh
Verse 1
ni vipi wadhii, maboyz na mamanzi
nimepata mpenzi yaani
ananipenda ananijali yaani
kila time yuko nami huitamani
nilipatana naye ninety nine
love yetu ikawa just so so tight
inakuwa soro mchana na night
na hiyo ndio story ya love wa mine
amenigusa yaani nje na ndani
rohoni akilini yaani kila mahali
yeye hunifanya nipepee angani
na hiyo ndio story ya love wa mine
yee, nishapata mpenzi
nasema yee, nishapata mpenzi mie
Chorus
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini ooh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini eeh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini ooh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini eeh
Verse 2
nilipomwona, sikufikiria
roho yangu ilididimia
nafasi yangu nilimwitia
naye pale akaikujia
kiti changu nikamwamkia
kiti changu akakikalia
alicheka na kuniangalia
moyoni mwangu nilifurahia
mi nakupenda akaniambia
unanipenda akaniuliza
bila kusita, nikaitikia
roho yangu nikampatia
Chorus
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini ooh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini eeh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini ooh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini eeh
Verse 3
ni wewe mpenzi wa maisha
umeniua tu si hatia
pendo lako limenikumbatia
ngazi yako ushaishukishia
kwa ndani nishapata
sina budi mi ya kujiachilia
mikono yako mie kushikilia
penzi lako kushughudia
amenipalilia, ameninyunyusia
maji nami ninaota
umenivutia umenielezea
kuhusu hisia zako
yee, nishapata mpenzi
nasema yee, nishapata mpenzi mie
Chorus
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini ooh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini eeh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini ooh
nishapata mpenzi mie
nishapata mpenzi, amini eeh
Outro
simba wa Yuda (ndiye mpenzi)
ananipenda (ndiye mpenzi)
simba wa Yuda (ndiye mpenzi)
hakuna mwingine (ndiye mpenzi)
| < Prev | Next > |
|---|
