Artist: Fundi Konde
Song: Tausi Ndege Wangu
Language: Kiswahili
Tausi ndege wangu
ndege wangu wa fahari
ndege umekwisha mali
sasa watafakari
Tausi ndege wangu
ndege wangu wa fahari
ndege umekwisha mali
sasa watafakari
wapita watu wawili
wameleta uramali
sasa tuko mbali mbali
wapita watu wawili
wameleta uramali
sasa tuko mbali mbali
sasa tuko mbali mbali
Tausi ndege wangu
ndege wangu wa fahari
ndege umekwisha mali
sasa watafakari
Tausi ndege wangu
ndege wangu wa fahari
ndege umekwisha mali
sasa watafakari
wapita watu wawili
wameleta uramali
sasa tuko mbali mbali
wapita watu wawili
wameleta uramali
sasa tuko mbali mbali
wapita watu wawili
wameleta uramali
sasa tuko mbali mbali
Tausi ndege wangu
ndege wangu wa fahari
ndege umekwisha mali
sasa watafakari
| < Prev | Next > |
|---|
