Artist: Fundi Konde
Song: Majengo Siendi Tena
Language: Kiswahili
karibuni mnakaribishwa rumba nzuri
kwa Kiswahili yaitwa Majengo siendi tena
Majengo siendi tena
Majengo siendi tena
Majengo siendi tena
kuna ndege za mitambo
Majengo siendi tena
Majengo siendi tena
Majengo siendi tena
kuna ndege za mitambo
moyo wangu wanituma mema
niwe mwanachama wa daima
sitaweza kuliacha rumba
bali moyo kunituma
moyo wangu wanituma mema
niwe mwanachama wa daima
sitaweza kuliacha rumba
bali moyo kunituma
Harambee
Harambee
Harambee
tumshinde japari
| < Prev | Next > |
|---|
