Artist: Fundi Konde
Song: Kipenzi Waniuaua
Language: Kiswahili
Waniuaua kipenzi waniuaua
Waniuaua kipenzi waniuaua
kiuno chako chembamba waniuaua
kiuno chako chembamba waniuaua
mwendo wako wa maringo waniuaua
mwendo wako wa maringo waniuaua
Waniuaua kipenzi waniuaua
Waniuaua kipenzi waniuaua
kiuno chako chembamba waniuaua
kiuno chako chembamba waniuaua
mwendo wako wa maringo waniuaua
mwendo wako wa maringo waniuaua
Waniuaua kipenzi waniuaua
Waniuaua kipenzi waniuaua
kiuno chako chembamba waniuaua
kiuno chako chembamba waniuaua
| < Prev | Next > |
|---|
