Artist: Fundi Frank
Song: Kuna Fire
Intro
tingisha
teremsha
hakuna cha kuona haya zungurusha
shikisha
burudisha
lazima hii track itakudansisha
inatamanisha
inafurahisha
inafanya kila mtu kukatisha
shida zote inasahaulika
basi shughuli zote ainisha
Chorus
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni kubaya
kuna fire
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni kubaya
kuna fire
Verse 1
babu weka kando bakora
nyanya wacha kusorora
baba pia tia fora
mama sare sufuria na jora
baba pia tia fora
mama sare sufuria na jora
msichana weka kando kichana
mvulana usiseme hapana
mtoto usi-pose, ni ka wapigwa photo
sasa ni motomoto
mtoto usi-pose...
sasa ni motomo? moto
Chorus
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni kubaya
kuna fire
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni kubaya
kuna fire
Verse 2
sasa jo ni kubaya
sasa kuna fire ile mbaya
sasa DJ amefaya
ngoma motomoto anamwaya
sasa DJ amefaya
ngoma motomoto anamwaya
moto excess desire
ni ka nimevuta kaya
sasa hakuna cha kuona haya
wala ku-retire
sasa hakuna cha kuona haya
wala ku-retire
Chorus
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni kubaya
kuna fire
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni kubaya
kuna fire
Verse 3
cucu na guka hakuna cha kukaa
mama na baba hakuna kuzubaa
brathe na siste isiwapite
nanyi watoto shikeni moto
tingisha
teremsha
tingisha
teremsha
tingisha
teremsha
hakuna cha kuona haya zungurusha
tingisha
teremsha
tingisha
teremsha
lazima hii track
lazima hii track
lazima hii track itakudansisha
tingisha
teremsha
tingisha
teremsha
tingisha
teremsha
hakuna cha kuona haya zungurusha
tingisha
teremsha
tingisha
teremsha
lazima hii track
lazima hii track
lazima hii track itakudansisha
Chorus
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni kubaya
kuna fire
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni motomoto (sasa ni noma)
sasa ni kubaya
kuna fire
| < Prev |
|---|
