| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Ukifika Taita

" target="_blank">LISTEN TO 'UKIFIKA TAITA'

Artist: Fadhili Williams
Song: Ukifika Taita
Language: Kiswahili


jamaa nawaimbia
maisha yako kwetu
ukifika taita
hutaweza kurudi kwenu

raha za kila aina
utapata kule kwetu
muziki wa ajabu
naicheza kule kwetu
kama husadiki
njoo twende ukaone
maisha kule kwetu (tandika mkeka)
ni furaha tu na kulala
wazaa na vijana
wote ni watu wa furaha
wasichana na mabibi
wote pia wana furaha

ukifika Voi
utapambana na ndege
ukifika Wuundanyi
ndipo kuna raha kamili
kama husadiki
njoo twende ukaone
maisha kule kwetu (tandika mkeka)
ni furaha na kulala
wazaa na vijana
wote ni watu wa furaha
wasichana na mabibi
wote pia wana furaha

kama husadiki
njoo twende ukaone
maisha kule kwetu (tandika mkeka)
ni furaha na kulala


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 481 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)