| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Sisi kwa Sisi

Artist: Fadhili Williams
Song: Sisi Kwa Sisi
Language: Kiswahili


sisi kwa sisi
Kenya yawezaje kuwa tajiri tawaambia
fanya kazi ya ujenzi

huu ni muziki wa Kenya
kwa utengenezaji

nunua bidhaa za Kenya uijenge Kenya
tuifanye taifa letu liwe tajiri
aha unafanya miguu yangu itamani kucheza

kwa hivyo Madiga hupata pesa nyingi

kwa hivyo Njoroge

kwa hivyo Omolo hupata pesa nyingi

Kenya na Umoja

Safari yangu siku moja

tulipofika stesheni ya gari

rafiki yako moja aliniona akaniambia

tulipewa gilasi mbili

nililia kwa askari afande

tulitolewa tuliwekwa korokoroni

safari yangu ilivunjika
sababu ya chang'aa
family yangu ilipata shida sana

majamaa mngekuwa macho nyote niwaambie


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 428 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)