| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Nilikuchagua

Artist: Fadhili Williams
Song: Nilikuchagua
Language: Kiswahili


nilikuchagua uwe wangu
pete nikakupa ni alama
watu wakaminywa pombe langu
karamu ikesha kwa salama
sasa moyo wakwenda mbio
mahaba ni nusu wakia
yakipungua huwaje
niambie

nilikuchagua uwe wangu
pete nikakupa ni alama

kwa makini mpenzi tulia
dunia isije kukutupa
mji gani nitashikilia
nilikuahidi nakupenda


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 495 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)