| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Kumbuka Mbele

Artist: Fadhili Williams
Song: Kumbuka Mbele
Language: Kiswahili


pesa tunapata nyingi
furaha tunapatia vijana
kuvaa tunavaa vizuri
tukumbuke mbele

pesa tunapata nyingi
furaha tunapatia vijana
kuvaa tunavaa vizuri
tukumbuke mbele

maana ya kusema hivyo
ni kuwa mtu ukazaliwa
huwezi hata kujua
utakuwa tajiri

maana ya kusema hivyo
ni kuwa mtu ukazaliwa
huwezi hata kujua
utakuwa tajiri

wakati unapata pesa
baada we ungali kijana
kula na zingine weka
akiba ya mbele

wakati unapata pesa
baada we ungali kijana
kula na zingine weka
akiba ya mbele

pesa tunapata nyingi
furaha tunapatia vijana
kuvaa tunavaa vizuri
tukumbuke mbele
tukumbuke mbele


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 435 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)