Artist: Chiwawa
Song: Strike One
Year: 2010
Producer: Babz
Record Label: Underdawg Production
hawa wasee hawaku-take P2 ndio wanaskia wako na balls...
mafans wa Abbas wako wapi?
mi ni fan wa mathree
na-break the ice, ka global warming
juu huu fala anakaa hawezi bonga
ukipata hii ni leakage...
Babz on the track
Verse 1
na-take shots at emcees... kama vodka
hawajui ku-act na wanataka Oscar
ni Chiwawa niko na bone to pick with you
uko na balls ka madame wawili hawaku-take P2
kile rafiki saa hii ana-change kuwa adui
nilimanga dame yako Abbas na hata sijui
unajibamba sana, get off the ecstasy
naku-handle ka doorknob ndio msee wa next asi...
mi ni mbaya zaidi, mi huingiza fridge baridi
mi ni Cassanova buda, mi hushinda high ka Tahidi
mi ni best man saa hii bana for real man
unatema kama Chiviu
mi na-spit like the real gun
story ya wife iko made up ndio unakaa clown
afadhali u-apologise kabla i-go down
down ka dame yako, ama ka skills zako
kama bei ya kila kitu bora imetoka Afco
wee Babz
nimemaliza huu fala mazee, huskii bana mazee
nimebakisha miguu pekee yake
nimmalize ama?
huu fala na wimala wake
boy umependa walami unafaa kuitwa tu Abbas
haha, you know what I do
all the time, I'm here
skills zangu zina-run through my jeans ka diahorrea
kwa hivyo nisipokupata mtoi wangu atakufuata pia
nafaa kuwa billionare vile na-coin hizi phrases
jina yangu kwa mdomo yako kila saa kama braces
niko undisputed bado na-hold title
ya kumada ma-rapper kuwaacha holier than the Bible
kwa hivyo Jerry B, Andrew, whatever the f**k your name is
fikiria mara mbili hii ni mwanzo ya many changes
ukiwa f****d up uelewe nani alikuokoa
unauma mkono inakulisha ukidhani utatoboa
skill yangu ni to die for, watu wako suicidal
hata dame yako anajua niko on point kama vinyl
niite impasta kama dredi ka spaghetti
kidogo ninjoti vile mistari zimestedi
usitarajie ntakumaliza, utaambiwa ukiuliza
niko so sick buda utakuwa m-sick ukiniskiza
ajab sana yani
hii ni ku-smother toddler
I'm powdering your ass
hivi ndio naku-show mzeiya
sleep with this dog, you get the fleas
welcome
who let the dog out? (Babz on the track, yeah)
na mafans wa Abbas wako wapi?
bado nyi ni mafans wa Abbas nini?
wee tokeni sana
hata mi sikudhania hivo, unajua
nani aliwaambia mni-ressurect?
wee buda, Babz hii kitu ina-sound familiar yani
wee toka sana, Abbas, yeah
toka sana, Abbas, what
-
|2010-05-15 15:45:08 Mimi...haha...una U.J.I.N.G.A!sa ii ndio unaita distrack...nktest...cal me wen u thru wit kindergaten crap!!wke up dude!!!
-
Can u rmber the last topic u red in sch.The song sucks,its horrible.chew it back into ur blad strims.
| < Prev | Next > |
|---|
