Artist: Bobby Mapesa
Song: Stima Zimekam
Year: 2010
Producer: Jesse
Record Label: Ketebul
Language: Sheng
Chorus
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
Verse 1
one-two moja mbili
mikono juu ka injili
jina ni mbili
aka ndio millioni
kwa jukwaa naitwa makwa
aka maganji, aka ma-pound
aka ma-coin, aka ma-Yen
aka ma-Euro na waroro wa Europe
aka ndururu, aka mapeni
dingi au donga, aka ma-dough
aka shillingi, aka mabob
kama change ya shop
unaeza niita bob
tukajuana miaka mob
najua ushanijua
ka hujanijua mpaka saa hii jua utaja nijua
na usitake nijua
ka unamezzo tu story za gazo
haumezzo huu boy wa micharazo
hadungangi mabati kwa shingo
labda mbota na ngoto, but single
ita-mingle kwa charti, ka dingo
ikikuwasha meza Vicks Kingo
na usiseme nina maringo
Chorus
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
Verse 2
April 25 duniani na-arrive
Pumwani no money me mami strive ni-stay alive
miaka mbao na mi bado na-survive
nilikuwa na-skive chuo wakishika tu mbuku
kwisha F2 kushika tu mic
kuvumilia mamboko ka punda na mkoko
odijo wa Physo alini-show sitakuwa kitu
ati ntaingiza tutu ama ntafyatu
juu napenda raha tu na kukaa tu
kila mtu hapana engineer
tukikulia sin ya moja wengi wataumia
angalia, wanavyoshangilia
juu nimeingia tu kuwaimbia
miti zilianguka, rive zikakauka
mwizi wako mulika
kukakuwa na rationing ya rappers worth mentioning
but tonight we might adopt a light
Chorus
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
Outro
wapi nduru mazee
pigeni nduru mazee
pigeni nduru, pigeni nduru mazee...
Artist: Bobby Mapesa
Song: Stima Zimekam
Year: 2010
Producer: Jesse
Record Label: Ketebul
Language: Sheng
Chorus
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
Verse 1
one-two moja mbili
mikono juu ka injili
jina ni mbili
aka ndio millioni
kwa jukwaa naitwa makwa
aka maganji, aka ma-pound
aka ma-coin, aka ma-Yen
aka ma-Euro na waroro wa Europe
aka ndururu, aka mapeni
dingi au donga, aka ma-dough
aka shillingi, aka mabob
kama change ya shop
unaeza niita bob
tukajuana miaka mob
najua ushanijua
ka hujanijua mpaka saa hii jua utaja nijua
na usitake nijua
ka unamezzo tu story za gazo
haumezzo huu boy wa micharazo
hadungangi mabati kwa shingo
labda mbota na ngoto, but single
ita-mingle kwa charti, ka dingo
ikikuwasha meza Vicks Kingo
na usiseme nina maringo
Chorus
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
Verse 2
April 25 duniani na-arrive
Pumwani no money me mami strive ni-stay alive
miaka mbao na mi bado na-survive
nilikuwa na-skive chuo wakishika tu mbuku
kwisha F2 kushika tu mic
kuvumilia mamboko ka punda na mkoko
odijo wa Physo alini-show sitakuwa kitu
ati ntaingiza tutu ama ntafyatu
juu napenda raha tu na kukaa tu
kila mtu hapana engineer
tukikulia sin ya moja wengi wataumia
angalia, wanavyoshangilia
juu nimeingia tu kuwaimbia
miti zilianguka, rive zikakauka
mwizi wako mulika
kukakuwa na rationing ya rappers worth mentioning
but tonight we might adopt a light
Chorus
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
ni B.O.B.B.Y M.A.P.E.S.A
pigeni nduru ni kama stima zimekam
pigeni nduru ni kama stima zimekam
Outro
wapi nduru mazee
pigeni nduru mazee
pigeni nduru, pigeni nduru mazee...
| < Prev | Next > |
|---|
