| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Mtoto wa Kicolle

" target="_blank">LISTEN TO 'MTOTO WA KICOLLE'

Artist: Bobby Mapesa ft. Feelo
Song: Mtoto wa Kicolle

Intro

Feelo mazee
Round hii tunawamada
Bobby bugz

Chorus
Umebamba aki shorty
Mtoto mzuri wa kicole
Ukadanganya aki shorty
Haunipendi aki shorty

Umebamba aki shorty
Mtoto mzuri wa kicole
Ukadanganya aki shorty
Haunipendi aki shorty

Verse 1 (Feelo)
Shida nianze wapi mbona hatuelewani
Kila nachokuambia wee unadhani tu ni utani
Ama mi ni mjinga kisha mi nakupenda
Mi nili-plead twende out ukalenga
Wewe ulidai security ni teti ata nifanye nini sebuleni hautoki
Moyo nikajipa wee ni mtoto geti kali 
Baadaye wewe mtoto nikakuta kilabuni
Na umekunywa ile mbaya
Alafu nikikuuliza unajibu bila haya
Huu ni Uncle yangu ametoka huko ng’ambo
Usiwe na wasiwasi atakutunzia vyombo

Chorus
Umebamba aki shorty
Mtoto mzuri wa kicole
Ukadanganya aki shorty
Haunipendi aki shorty

Umebamba aki shorty
Mtoto mzuri wa kicole
Ukadanganya aki shorty
Haunipendi aki shorty

Verse 2 (Feelo)
Ni Uncle yako ambaye anakula date
Hata msalani mbona nyote mnakwenda
Masela wamegeuka wote wananicheka
Zile nilizokunywa natamani kutapika
Pesa nyingi nili-spend Friday iliyopita
Hata njaa nikalala ule chicken tikka


(Bobby Mapesa)
Siezi kataa nilikuwa nimekunoki
Usiku mzima mi sichoki si unajua nikiingia mi sitoki
Si unajua si unajua
Nilikucheki ukitoka shop nilichanganyikiwa hiyo ni thigh au stocking
Milikutaja mi nina haja ya
Kupata dame wa power mwenye amekwaja
So ukani-show wee haupendi John
John ndio anakupenda siku moja ukampenda akakutenda
Kadhani wee ni V kumbe pretender
Tukakatiana mara kadhaa
Tukamangana mara kadhaa
Nikaanza kukucheki na fala flani
Nikikuuliza ndio unakata tu
Unachelewa kwa kilabu ukilambwa tu
Nikikuuliza vako ni makata tu
Si usare tu hata tukikutana ndani ya matatu

(Feelo)
Nakupa heri jibu nika-push naye Adhabu
Nakupa heri jibu nika push naye Adhabu
Why baby why oh why kuni-deny
why baby why oh why kuni-deny
oh why kutumia lies


Chorus
Umebamba aki shorty
Mtoto mzuri wa kicole
Ukadanganya aki shorty
Haunipendi aki shorty

Umebamba aki shorty
Mtoto mzuri wa kicole
Ukadanganya aki shorty
Haunipendi aki shorty


Related lyrics

Comments (2)
  • L.Barongo
    whatever happened to this dude? Any new songs?
  • Akinyi
    He probably stopped recording due to lack of support. You cant speak the way he does and expect people to enjoy your music. Music needs to be wholesome, entertaining, educative not just disrespectful and chauvinistic.
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 2216 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)