| 
A+ R A-

(1 vote, average 5.00 out of 5)

Kabinti

LISTEN TO 'KABINTI'

Artist: Bamboo ft. CLD
Song: Kabinti

Chorus (CLD)

kuna kabinti binti binti
kamenisengua
kuna kabinti binti binti
kwa mtaa

kuna kabinti binti binti
kamenisengua
kuna kabinti binti binti
kwa mtaa

Verse 1 (Bamboo)
hebu nipeni dakika mbili niombe Mungu wangu
ye ndiye anajua machungu zangu
kuna kadame kutoka kanisa langu
baba nampenda kabisa na moyo wangu
lakini sasa sijui nifanye nini
sitaki kurudi nyuma juu Yesu nimemwamini
najua si dhambi kumwongelesha lakini
nataka tu ujue napenda awe na mimi
siku hizi majamaa
huwanga na matamaa
kukuwa na madame wengi nimeshangaa
mi nimebadilika nataka kuaminika
najua nikifanya bidii ntakamilika
staki kukosea ni rahisi kupotea
watu wanakufa ukimwi mi nimeponea
pia najua ni juu umenisamehea
lakini huyo binti ni mrembo yani
sio nje pekee pia na ndani
lakini kwa vile umemwokoa
mi sitamgusa mpaka siku ile ntamwoa
mpaka siku ile ntamwoa

Chorus (CLD)
kuna kabinti binti binti
kamenisengua
kuna kabinti binti binti
kwa mtaa

kuna kabinti binti binti
kamenisengua
kuna kabinti binti binti
kwa mtaa

Verse 2 (Bamboo)
kabla ya kumwoa lakini lazima kazi
dame haezi olewa tu hivi kijambazi
kazi ya mchumba huanza kwenye nyumba
lakini utampeleka wapi kama nyumba hauna
Mungu basi anibariki na kazi
siwezi kujisimamia kwanza ntapata wapi
umaskini umezidi pesa hakuna
kila siku ntahitaji kitu cha kutafuna
Mungu wee unajua napohitaji
Mungu wee unajua nakuhitaji
Mungu mimi najua mashida zangu
kubwa lakini wewe ni mkubwa kuliko shida
najua nikiamini ntapata
kila kitu ambayo nilikuwa nataka
kwa hivyo kwanza mimi ntavumilia
kama dame ananipenda atavumilia pia
miaka na miezi ama wiki
kama bado yuko Mungu atatubariki

Chorus (CLD)
kuna kabinti binti binti
kamenisengua
kuna kabinti binti binti
kwa mtaa

kuna kabinti binti binti
kamenisengua
kuna kabinti binti binti
kwa mtaa

Verse 3 (Bamboo)
kuna watu wengi wameumia
lakini aminia na Mungu atakuskia
ukilia atakuonyesha njia
lakini ukijiskia hujui utakufia...
lini, nitatulia naye nakuambia
kuna madame bado hupenda kunipigia
lakini macho zinaangalia mbele
mimi na ye milele usitupigie kelele
hiyo ndio huitwa mapenzi tele
ukidanganywa na mtu utamwambia ati wewe

Chorus (CLD)
kuna kabinti binti binti
kamenisengua
kuna kabinti binti binti
kwa mtaa

kuna kabinti binti binti
kamenisengua
kuna kabinti binti binti
kwa mtaa


Related lyrics

Comments (4)
  • Lish  - I love it
    :)
    I love this song so so much

    Wish Bamboo still rapped in Swahili coz that's when the real Swa Rap hits home
  • Mumbi
    Bamboo COME HOME!!!!!! Whatever you went to do in the States, your REAL fans are waiting for you to come home and do a comeback. Kenyan rap aint been the same since you left.
  • ero
    classic kenyan song. Youve not partied till youve sang along to compe in a club!
  • lush
    hey.... quick question. At the risk of looking ignorant, WHO WAS CLD??????????
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 2011 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)