Artist:Angela Chibalonza
Song:Natamani nikuone
Year:2010
Language:Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Nina tamani nifanye mapenzi yake ili nifike binguni kwa Baba yangu
Ninatamani niishi karibu Naye ili ninywe maji, maji ya uzima ya milele
Yesu Akasema, Mimi ndimi ndiye ya uzima
Hakuna awezaye kufika kwa Baba yangu, ila kwangu mimi
Mimi ndimi ndiye ya uzima
Yesu Akasema, Mimi ndimi ndiye ya uzima
Hakuna awezaye kufika kwa Baba yangu, ila kwangu mimi
Mimi ndimi ndiye ya uzima
CHORUS LYRICS:
Baba, natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Masia, natamani nikuone
Maishani mwangu natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
VERSE 2 LYRICS:
Natamani niombe bila kukoma ili nifike binguni kwa Baba yangu
Natamani niyashinde majaribu, niukwe taji, taji ya uzima ya milele
Yesu Akasema, mimi ndimi mkate wa uzima
Atakaye nila, hataona kamwe njaa, bali atakaa karibu nami milele
Yesu Akasema, mimi ndimi mkate wa uzima
Atakaye nila, hataona kamwe njaa, bali atakaa karibu nami milele
CHORUS LYRICS:
Baba, natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Maishani mwangu natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Yesu natamani nikuone
Masia wangu natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Maishani mwangu natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Baba, natamani nikuone
Masia, natamani nikuone
Nchi ya Kenya, tunatamani tukuone
| < Prev | Next > |
|---|
