Artist: Angela Chibalonza
Song: Ebenezer
Language: Kiswahili, Lingala
Umbali tumetoka, na mahali tumefika
Ndio maana ninatambua, kwamba wewe ni Ebenezer
Sio kwa uwezo wangu,ila ni kwa uwezo wako
Mahali nimefika, acha nikushukuru
Eeh Bwana umenisaidia, nifike mahali nimefika
Bwana wewe ni Ebenezer, maishani mwangu oo
Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako
Ninataka Ebenezer, uwe msingi yangu
Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana
Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana
Oo Ebenezer, jiwe langu
Ninataka maisha yangu, yajengwe juu yako
NInataka ndoa yangu, ijengwe juu yako baba
Ndoa zilizojengwa juu yako yahwe, hazivunjiki kamwe
Nyumba zilizojengwa juu yako yahweh hazivunjiki kamwe
Ninataka uimbaji wangu baba, ujengwe juu yako
Maana wewe ni sauti yangu, wewe ni uzima wangu
Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako
Ninataka Ebenezer, uwe msingi yangu
Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana
Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana
Oo Ebenezer, jiwe langu
Ebenezer na ngai
Libanga na ngai ya talo
Oleki...
Kati na bomoi na ngai
Nzambe, nakumisi Yo
Moko te akokani na Yo
Esika nakomi lelo Yawe
Ezali...
Ninataka Ebenezer, nijenge juu yako
Ninataka Ebenezer, uwe msingi yangu
Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana
Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana
Oo Ebenezer, jiwe langu
Ebenezer ni jiwe langu, jiwe langu la msingi
Mahali nimefika leo, Ni kwa ajili yako Ebenezer
Mawe mengi yako hapa chini ya jua
kuna dhahabu, kuna almasi Kuna mawe hata sijui majina yake
Lakini hakutawahi kuwa jiwe kama Ebenezer
| Next > |
|---|
