" target="_blank">
LISTEN TO 'TAMANI'![]()
Artist: Amani
Song: Tamani
Album: Tamani
Year: 2005
Record Label: Ogopa DJs
Language: Kiswahili
Verse 1
nakumbuka tukikaa kwa mtaa
me and you baby boo zima mishumaa
ku-pass time tukiongea
hadi usiku na giza kuingia
sasa miaka imepita
na bado nakuhisi moyoni mwangu
nimekumindi toka zamani
penzi lako laniwasha vilivyo
Chorus
ninatamani
kuwa na wewe
ninatamani
tuwe milele
tamani, tamani
tamani, tamani
tamani, tamani
Verse 2
nakumbuka ukisema ya kwamba
utabaki na mimi hadi mwisho
marafiki wasema nimechizi
kila siku nakuwaza wewe
sasa miaka imepita
na bado nakuita honey baby
nimekumindi toka zamani
penzi lako laniwasha vilivyo
Chorus
ninatamani
kuwa na wewe
ninatamani
tuwe milele
tamani, tamani
tamani, tamani
tamani, tamani
Verse 3
na kila tunapogombana
wajua la kufanya ili nicheke
wajua la kufanya ili nitulie
oh baby
na kila tunapogombana
wajua la kufanya ili nicheke
wajua la kufanya ili nitulie
oh baby
na kila tunapogombana
wajua la kufanya ili nicheke
wajua la kufanya ili nitulie
Chorus
ninatamani
kuwa na wewe
ninatamani
tuwe milele
tamani, tamani
tamani, tamani
tamani, tamani
| < Prev | Next > |
|---|
