Artist: Adawnage
Song: Uwezo
Album: Safari
Song: Language: Kiswahili
Verse 1
Nilikua natafuta ukweli wa maisha yangu, sa mie nauliza nianze wapi,
Marafiki wangu wote wamenikimbia, Jehovah Nisi nalia nihurumie,
Chorus
Uwezo,Uwezo-o, wa kusimama imara juu ya neno lako we-e,

Verse 2
Nilikua natafuta kipenzi cha roho yangu, sasa mie nauliza mi nianze wapi,
Maumivu machungu mengi yamenijaza mie, Jehovah Nisi naomba unihurumie,
Chorus
Uwezo,Uwezo-o, wa kusimama imara juu ya neno lako we-e,
Uweo,Uwezo-o, wa kusimama imara juu ya neno lako we-e,
Verse 3
Nilikua natafuta ukweli wa maisha yangu, sa mie nauliza nianze wapi,
Marafiki wangu wote wamenikimbia, Jehovah Nisi nalia nihurumie,
Chorus
Uwezo,Uwezo-o, wa kusimama imara juu ya neno lako we,
Uweo,Uwezo-o, wa kusimama imara juu ya neno lako we,

Uweo,Uwezo-o, wa kusimama imara juu ya neon lako we,
o-a, o-a, o-a,o-a,o-a,o-a
Uwezo,Uwezo-o, wa kusimama imara juu ya neno lako we,
Uweo,Uwezo-o, wa kusimama imara juu ya neno lako we,
wa kusimama imara juu ya neon lako we!
-
|Registered |2011-10-06 16:34:52 tusqeegreat group! great song!