Artist: Abbas Kubaff
Song: Shika Doggy (Chiwawa Diss Track)
Year: 2010
Language: English, Kiswahili, Sheng
Chorus
Na mafans wangu wote mko wapi
kama mko basi wapi doobie
shika, shika hiyo doggy
shika, shika hiyo doggy
ua, ua!...
Verse 1
niliku-murder na one shot
nikamaliza na gunshot
watu wakawika one time
wakajua nime-conquer
K-South huko ndio nimetoka
mi ni simba...
Lion King...
singe-push kwenye bag ya kipusa
sasa bado whiskers, juu wewe ni pussy
ati suicide, it's a suicide
naku-kill mara twice kama multicide
bad man toka ganja pia gully side
nine inches ka hujui size
nakupiga tu ki-doggy style
hata Snoop atajua mi ni gangster
tangu lini ati mi niwe shy
ebu cheki hizo macho na uta-realise
vile Doobie mi huwanga na-legalise
na kuchapa zile miti huwezi bilahi
kwanza vile nakutaja naku-advertise
after this utanichotea otherwise
ntakuteka nikupeleke the other side
gizani pali watu hupoteanga sometime
miguu na mikono nazifunga one time
huku nakufunza jinsi ya ku-punch line
hii ni right, hii ni left, na hii ni bedtime
siko forty, ni forty five
wee una ngapi, OK, tuseme twenty five
waishi na wazazi ukilishwa meat pie
kulala kwenye sofa na kuamka lunch time
come one, what the f___k is wrong with this guy
mi nina nyumba yangu nalipanga thirty five
ata land lady wangu si ni fan wa mine
na ni m-young, ana miaka thirty nine
Chorus
Na mafans wangu wote mko wapi
kama mko basi wapi doobie
shika, shika hiyo doggy
shika, shika hiyo doggy
ua, ua!...
Verse 2
mi niko high, siko low, hata uliza Robbo
ni K-South biatch, cheki check logo
cheki hizi ndevu utajua mambo byad
hardcore niko na Hardstone inna di yard
wee ni batty boy unabonga juu ya diab
rude boy nikakupeleka mpaka yardi
ntakukatisha mikono nikuvalishe vest
niku-smack kwenye kichwa kidevu iguse chest
ilinyang'anya rap si utabaki na gist
iko ndani ya box na pia Christmas list
wee ni virgo
mi nishatoboa
hakuna haja kujihami juu mikono niko poa
sijasahau... ulinyora kwa kitanda
ulipokuja kwangu na ukatia blunder
ukajipanguzia mikojo na vitambaa
alafu ukatupa bedsheets kwa kitanda
yawa, hata hauku-shower
na maji nina mingi ya kumwaga na kugawa
no wonder magodoro zilikuwa na machawa
na kama hazijaisha bado mi niko na dawa
lines sija-borrow mi nimefuga ma-zebra
mistari zangu zimetengezwa na leather
kwa karatasi ngumu na kalamu ni ya steadler
kanda kila korna ka kile kitu ya peddler
Chorus
Na mafans wangu wote mko wapi
kama mko basi wapi doobie
shika, shika hiyo doggy
shika, shika hiyo doggy
ua, ua!...
Verse 3
Sa wacha ni-get practical
naleta beef pia mambuzi za Capricorn
juu ulitoa ngoma zangu Capital
wacha pia mi sasa ntakuwa tactical
hizi CD hizi beef zuuza
najua una chuki na bado sijakugusa
sasa watu wote watajua sitaficha
sasa nachanganya hii beef na michicha
wanaleta peremba manjaro za wasenge
Babz akupeleka ukanyolewa nywele
unakaa kama dame ako na ndevu
CD zangu classic siezi pata kaswende
nina mtura na balls za Makmende
na sijali marafiki si wote wakwende
kama ni wa-fake ama kama ni wazembe
kama ni wa-real nawagota tena twende
nikikutaka doggy ntakulima na jembe
anafanya kazi bure ka Baba Madenge
Chorus
Na mafans wangu wote mko wapi
kama mko basi wapi doobie
shika, shika hiyo doggy
shika, shika hiyo doggy
ua, ua!...
Chiwawa, ni kii
hujakatwa ile kitu wee ni kihii
| < Prev | Next > |
|---|

NEXT FRI 23RD JUNE....
@ CARNIVORE