Artist:Abbas Kubaff
Song:Safari na hii
Year:2012
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Kisanga hii, ni kuvunja historia yeh
kumaliza kila hamu na kila hate
kinanga hii, makamuzi makanuzi yeh
kuvukiza kumaliza Doobidoobie na kikosi yeh
VERSE 1 LYRICS:
Ni Kijana Kutoka Civo,
Kubaff, Checki Tisho,
Nyanya, Bado Jicho,
Ketchup Ni Beef Na Ma chipo,
Hebu Gota,...Hapo Hivo Hivo,
Nawa Shoot NamaToti Za Risho,
Cham Tema kuni, Nawachapa Fimbo,
Ni Abbas Na Vosti Stevo,
Hebu Checki Hizo Ma Stingo,
Ni Ma Shot Za Tequila Gringo,
Nilianza Tema Tangu Niwe Primo,
Vua Njumu Sasa Vaa Sandals,
Tuko Wax Kama Candles,
Iko, Nawa Slice Kama Kimbo,
Kumbo, Mbili Za Tumbo, Shingo,
Sick Na Hii Flow Nipe Vicks Kingo,
Hiyo Si Wimbo, Ni Single,
Ni Hip-Hop, Ni Mtindo,
Niko Juu Ya Maji Ka Migingo,
Niko Juu, Mawingo,
African Mandingo,
Bado Nawaroga Ka Wadigo
Bado Nawakilisha Civo
CHORUS LYRICS:
Kisanga hii, ni kuvunja historia yeh
kumaliza kila hamu na kila hate
kinanga hii, makamuzi makanuzi yeh
kuvukiza kumaliza Doobidoobie na kikosi yeh
VERSE 2 LYRICS:
Flow Zangu Huwanga Simple,
Dame Yangu Huwana Dimples,
Nyanyako Huwana Wrinkles,
Facebook Him Huwana Pimples,
Nairobi Huwanga Central,
City Centre, Mathare Ni Mental,
Phoenix Nama Instrumentals,
Kwanza Hii Minapenda Temple,
"Di Di Di Di D" Nilidhani Phone Call,
Kwenye Mic Ninatema Ma Tonsils,
Nilistrike Kama Stude Wa Campo,
K South, Hebu Wape Ma Sample,
Oh Yeah, Dame Yangu god,
My Hair, 2010, My Year,
Hata Mpaka Next Year, Yeah Yeah,
Wasenge Wata Disappear, Fuck Yeah,
U K Double Oh Oh,
V Double O P Zii, Lets Go,
Flow Mpaka Coasto,
Tunashine Kama Rangi Za Rainbow,
(Gunshot Sound) Nani Rambo?
CHORUS LYRICS:
Kisanga hii, ni kuvunja historia yeh
kumaliza kila hamu na kila hate
kinanga hii, makamuzi makanuzi yeh
kuvukiza kumaliza Doobidoobie na kikosi yeh
VERSE 3 LYRICS:
Nimerudi Kama Uti Wa Mgongo'sss
Ka Mkongo, Nawa Kanda Bongo'sss
Sasa Watajua Mboga Yangu Dondosss,
Clat, Bumbo, Tobo,
Karao akakuja, Hongo,
Minajulikana Hadi Okongo,
AQ, Nilimurder Form Four,
F2, Mnakumbuka Tukiperform,
K South Na Akina Mighty King Kong, Hardstone, Kshaka, Let's Go
Redsan Alikuwa Na Chameleone,
Poxxi Alitetea Civilians,
Samawati Walitugonga Ma Millions,
Walitaka Tukuwekama Kabaka Williams,
Lakini Mi Bado Nakuombea Gideon,
Hii Ngoma Itabidi Hadi Video,
Studio Bado Nikona Material,
Inatoshemeka Zingine Ka Million (x3)
CHORUS LYRICS:
Kisanga hii, ni kuvunja historia yeh
kumaliza kila hamu na kila hate
kinanga hii, makamuzi makanuzi yeh
kuvukiza kumaliza Doobidoobie na kikosi yeh
| < Prev | Next > |
|---|
