Artist! Abbas Kubaff
Song: Msoto
Verse 1
Yeah, nataka nikamate, mi nikate wakuongea matope, mi niwachape, wote wajikate,
Wakija kunitafuta wasinipate, wanihate, ama ni wakate kate style ya karate,
Wateme mate kwenye sherti ziwe dirty, nguo zichafuke aha,
Na ukumbuke aha, na usumbuke aha, na ukumbuke aha,
k-south waki deadi itabidi ni fufuke aha , na nilipuke kama bunduki,
chorus
watu wanasemanga ati mi nakaa tu mse mtaani ni kama sina chapaaa, wee umesota
wengine wanasema na ka tu jamaa aezi kuwa star, Abbas umesota,

verse 2
Twatoka mbali twaenda mbali, safari ni ndefu jangwani,
Nyumbani mbali, lakini karibu na mahali wanapenda, sio mbali,
Ni lazina mzigo kifuani kama asma ya ndani, kifuani, nyumbani maumivu tele,
Maskani watu maswali,ati o, ati e, ati o, ati e, ati
Dubi siku aje, mshikaji tangu mumtaje muimbaje vipi mmekuaje kumradhi mziki,
Tukaze kuhifadhi , yuataka mshindani na kipaji,
Nakumbuka tukijadili kelele na majimaji, niaje niaje baada ya kumlike umpeshuka,
Wazuri ukuanga waenda wakiwa acha kwa giza wale kwa mwanga,
Naagiza mziga tena na piga mashoti
chorus
watu wanasemanga ati mi nakaa tu mse mtaani ni kama sina chapaaa, wee umesota
wengine wanasema na ka tu jamaa aezi kuwa star, Abbas umesota,
watu wanasemanga ati mi nakaa tu mse mtaani ni kama sina chapaaa, wee umesota
wengine wanasema na ka tu jamaa aezi kuwa star, Abbas umesota,
verse 3
ikiwa ni kwa hii kazi mi ni mkali kwa swali, nasijali ka we ni Mr. nani,
hata ka we ni Mr. nani na gari gani, hii mambo ya free style mi nilianza zamani,
nimechoka na chai ya rangi bila maziwa ndani,
kila siku ni sukuma, kabichi na ugali, afadhali ni baki hata kama simangi hata,
kama si worki kijani, kitu sitaki pesa ziko zimejificha sijui wapi,
am nina tufata kando na iko katikati,
ama sina bahati, nina shimo kwa sharti na nimepigwa mapicha na wale paparazzi,
chorus
watu wanasemanga ati mi nakaa tu mse mtaani ni kama sina chapaaa, wee umesota
wengine wanasema na ka tu jamaa aezi kuwa star, Abbas umesota,
watu wanasemanga ati mi nakaa tu mse mtaani ni kama sina chapaaa, wee umesota
wengine wanasema na ka tu jamaa aezi kuwa star, Abbas umesota,
| < Prev | Next > |
|---|