">
LISTEN TO 'KARIOBANGI SOUTH'![]()
Artist: Abbas Kubaff
Song: Kariobangi South
Album: Mis* Abbas
Year: 2010
Verse 1
sasa hizi mashida nazi-kiss goodbye
ka nywele za Sisqo mi najidai
niko ndani ya disco, niko high
hapa nina Mrs., hapa divai
wapi ile change yangu waiter anadai
beshte yangu amebleki kwa ndai
(amebleki kwa ndai, amebleki kwa ndai)
wacha niishie, ntapitia baadaye
Chiwawa niaje mzae
umepotea, mazee iz how
nadhania ni karibu ni bibi azae
siku hizi itabidi mifuko zijae
tujaze jaze zote walai bilai
tununue ma-toys, tuskume mandai
mkuje home kwangu, mkeja ya mine
Chorus
Kariobangi, Kariobangi South
wanasema ni Abbas Kubaff
anaitwa Abbas Kubaff
kwa jina ni Abbas Kubaff
Kariobangi, Kariobangi South
wanasema ni Abbas Kubaff
anaitwa Abbas Kubaff
kwa jina ni Abbas Kubaff
Kariobangi, Kariobangi South
Verse 2
nimetoka kule Kariobangi
nikitoa digaga cheki rangi
unadhania nimefanya dhambi
sina nywele, ni kipara ka Ghandi
njaro zangu utadhania ni bandi
skizeni vako za kulalanga Jeevanjee
juu bila kazi inamaanisha simangi
ka amesota inamaanisha hakanji
mara niko kwenye show na Kanjii
jeans nime-sag chini na nakaa G...
nawapaka kama Peter marangi
namanga dimanga za Budalangi
nafanya wana-move kama Range ya landi
nafunga ka Maradona aki-touch na handi
Chorus
Kariobangi, Kariobangi South
wanasema ni Abbas Kubaff
anaitwa Abbas Kubaff
kwa jina ni Abbas Kubaff
Kariobangi, Kariobangi South
wanasema ni Abbas Kubaff
anaitwa Abbas Kubaff
kwa jina ni Abbas Kubaff
Kariobangi, Kariobangi South
Verse 3
bado naimba kama ndugu ya Ambi
buda sasa tutaweka vitambi
tulimanga kama chali ya Tande
bonge la tumbo utadhania tanki
picha langu kwa gazeti ya Sunday
ati bado mi huwanga naletanga Monday
wakicheza nawakata vipande
ebu cheki jina kwenye kipande
watajuaje mi naitwangaje
(wanasema ni Abbas Kubaff, Kariobangi)
hawajui nimetoka wapi
Chorus
Kariobangi, Kariobangi South
wanasema ni Abbas Kubaff
anaitwa Abbas Kubaff
kwa jina ni Abbas Kubaff
Kariobangi, Kariobangi South
wanasema ni Abbas Kubaff
anaitwa Abbas Kubaff
kwa jina ni Abbas Kubaff
| < Prev | Next > |
|---|
