Artist: Bamboo na Abbas
Song: Balaa
kikuyus, kambas, luo, luhyas, i got christians and muslims, singing Hallelujah
kalenjin, mijikenda, taita, vaite,follow me am going the right way,
Maasai, samburu wahindi, wa arabu, wote wanagoja album yangu na hamu,
Wanandi hata kama ni kabila gani, sidhani kama hujui bamboo ni nani,
Vipara, maafro na madredi, kutoka UG, Nairobi na Tz,
SA, US,UK be ready, nachapi hii industry makarate, mahedi,
Shika hiyo na kapuka imedeadi,
Shika hiyo na kesho ni matanga,
Mi huanga naronga mpaka waganga, wajinga, wajanja, weupe, weusi,
Wakati walisikia walisema, ala,
Bamboo na Abbas in Balaa,
Basi mafans waseme aha,
La la la la, balaa,
Makapuka MCs wanabeat the same, mi sina beef but naweza diss the game,
Tena ni abbas, unaeza tax, aka majina mengi because I am not the same,
AKA 48 minus 1 hesabu area 47 kama rival, come bare there,
Bamboo check kama iko sawa,
Plus my brothers waeke wote 5 in 1,
Ati, you want to be what, you want to be caught and brought in court, you think you are a mjanja
Do you want some carrots! Mnatu copy kama parrots!
Wakati walisikia walisema, ala,
Bamboo na Abbas in Balaa,
Basi mafans waseme aha,
La la la la, balaa,
Hoyaa, mpaka malawyer wananoidoya, ma MC wanatucopy na wemetuzoea,
Noble flow prize ni yangu walai, ka uniamini uliza wangari mathai,
Natakikana na mahommy, na manati, na ma babi, na mastreet boy, na ma fati fati,
Mi uanga na shika micro safi sana, na mashafiki watakuambia napatikana @#
E e e mzea,
Ama singe hook up na bamboo, ju tukicome tuko my 2, inatuma tu watu waanze kudo vitu zingine hapa za udo,
Kama mlevi kutry kubalance kwa stool, ina miguu tatu, vile zimekuachu,
Wacheni kujidoo, hamskii mnani boo, si hii style ni ya dubi,
Kama Abbas ni jina ya @, ni matatu bila watu iko kavu,
Sasa mbona bwana mnashangaa, ama mnataka ni kate tamaa,
basi leta panga mi nitajipanga, Abbas na Bamboo, bumper to bumper ,
speaker zikipark mapumz zimekubamba!
| < Prev | Next > |
|---|
