Artist: Abbas & Chiwawa ft mc Sharon
Song: Abbachiwa Show
Producer: Jeff
Record label: phoenix records
Ladies and gentlemen, welcome to the Abbas,Chiwawa show!
Got this covered like a text book, so follow this by the text
Verse 1
Nahit the ground running kama kanga wa 5-8, niko on the real hustle,On that one I relate,
tuli come up na technique ya kufanya wadibate,
kwa mabaa na mavibanda story ngapi niliget?
Lakini really, sidhani kuna pesa na track, nadhani ni strategy ya game nimepanga masearch,
waligeuka tena soft kama paper Mache, and they keep holding on to every word I say ,
ni sikia, kila mtu aki vaa juu ya mataji, kuna wagombea wawili wa hili taji,
na sound complicated najua bado hamshiki,
mi husinda daily studio nikikimbiza hii muziki,
wasanaa watufuate na toes mpake watupate, kama hupati hii si basi wewe ni pati,
pause, take a minute right here, sikiwasikii siku hizi jo!, vile najisikia,
naleta change nikama na walk macashier, ma CD, ma album, nadunga nadeal na Cash here!
Chorus
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa a a
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa o-o-o-o-o (na chiwawa)
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa o-o-o-o-o-o(na chiwawa)
Abba-Chiwa
Verse 2
Mimi siwezi ingia studio ni pass the booz, si watu watadhani ati Abbas ni woosh,
Rude boy ebu pass the coosh, tu wa burn kama chang ama Mr. googs,
Gangsta na wa?, kama straps ya boots, nawachanganya masala na mafruti loops,
Si hii ni diambo, sikiza hii gooss, ina wafanya vichwa zinapump kama skin ya gooss,
Sisi ni first, nyinyi ni last kama kuny ya dush, zangu huwaga tu maswish nikishot ma hooks,
Nime touch kila floor, mimi na suit masseuse , old skul shinda kipindi ya doctor Zeus,
Kata maji kama Musa, nikiburn mabush,
kwenye moon buta Mr.Spoon, bado Jeans ziko down ,buda button juu,
shika toka hapa hadi Easternbull,
nimeketi bwana, juu siezi easternbull,
shit wana bull waki flash mastool, wanamziki sikuhizi wana act the fool
mimi najulikana na wahindi wa katma-dull,
K-south kama kawa, na big up bamboo,ni Abbas na Chiwawa basi vichwa juu , vichwa juu
Chorus
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa a a
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa o-o-o-o-o (na chiwawa)
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa o-o-o-o-o-o
Abba-Chiwa
Verse 2
Nakam through kama kwa hii first verse, nikisign auto-graphs kwenye label za dash,
Wasanii nawa smash, ata Kevin nash, CMC’s na mathree, na Abbas ni mash,
Industry backwards nimepark reverse, kila test wamenipa ni a must ni pass,
Niki speed ni a must ni curse, naweza kupea punch me kishsha u punch,
Mi siz, anakaa kama Niki Minarge , id, finger print na muziki ni bad,
Ni Kubaff cheki sura, kisha Google u search, ama ngoja useti kidungulu first, eei,eei,ee
Chorus
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa a a
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa o-o-o-o-o (na chiwawa)
Abba-Chiwa, Abba-Chiwa o-o-o-o-o-o(na chiwawa)
Abba-Chiwa,
-
|Registered |2011-10-06 15:02:48 celsinging about yourselves?? seriously!
-
|Registered |2011-10-06 15:17:45 jamal@ cel! hater!! Abbachiwa, rocks!
| < Prev | Next > |
|---|
